Vitengo
Hospitali ina Vitengo 12;-
- Maabara,
- Miyonzi,
- Meno,
- RCH,
- CTC,
- TB,
- Dhobi,
- Utawala,
- Macho,
- Pharmacy,
- Upasuaji na
- Idara ya Dharura
- Hata hivyo Hospitali ina Wodi 7, ambazo ni:
- Wodi ya Wazazi,
- Wodi ya Watoto,
- Wodi ya Upasuaji ya Wanaume,
- Wodi ya Upasuaji ya Wanawake,
- Female medical word,
- Male medical word and
- VIP ward.
Muhimu: Kila kitengo kina mkuu wa kitengo ambaye pia ni mjumbe wa "Hospital Management Team (HMT)"



