Hospitali Ya Wilaya Ya Kisarawe

Usuli wa Hospitali

Historia ya Hospitali ya Kisarawe:

Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe ilianzishwa mwaka  1960 ikiwa ni miongoni mwa Hospitali 4 za Wilaya katika Mkoa wa Pwani.  Hopitali ya Wilaya ya Kisarawe ipo Kando ya Mkoa wa Dar es salaam barabara ya Maneromambo mkabala na Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe. District. Hospitali inahudumia jamii ya watu wapatao12,430.

The model of health services delivery at Kisarawe District Council is based on preventive, promotive and curative care. The hospital is led by a Medical Officer who is the head/ incharge of the hospital (MOi/c). The hospital has management team (Hospital Management Team) which provides technical health and social care development advice to MOi/c who is the overall leader of the hospital. Hospital Management Team is made up of heads of hospital departments.